Habari za hivi Punde

HABARI KWA UFUPI;TAMASHA LA FIESTA LIMELETA HUZUNI KWENYE FAMILIA MOJA BAADA YA KIJANA WAO KUFARIKI.Tamasha la Serengeti fiesta Shinyanga badala ya kusambaza Upendo limesambaza vilio na simanzi baada ya kijana mmoja aliyejulikana kwa jina la Musa Shija kuuawa kwa kupigwa kitu kizito kichwani akiwa kwenye tamasha hilo usiku wa kuamkia leo  hivyo  habari kamili tutakuletea endelea kufuatilia tukio hili nini kikisababisha.KARENY. Powered by Blogger.