Habari za hivi Punde

WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUELIMISHA JAMII ILI WAWEZE KUONDOKANA NA MFUMODUME.

Jamiii imetakiwa kuondokana na mfumo dume kwani ndio uliofanya wanawake kuwa na hofu hata kuendesha familia na katika maamuzi  na wasichana walio na umri mdogo kupata mimba za utotoni,hayao yamesemwa na mwezeshaji Emma Mashobe kutoka shirika lilislo la kiserikali la care-International  Tanzania baada ya kuendesha semina  kwa waandishi wa habari 15 kutoka mkoani Shinyanga  ambapo  mradi wao uliokuwa ukilenga  (man engage) kwa maana kuwabadilisha wanaume kwenye familia zao na kuondokana na mfume dume.

Waandishi wa habari  wakiwa katika semina wilayani Kahama  mkoani Shinyanga iliyoandaliwa na shirika lisilo la kiserikali la care International Tanzania.

Mwandishi wa habari wa magazeti ya mwananchi na the citizen wilayani Kahama Shija Felician.

Mwandishi wa habari   wa magazeti ya habarileo na dailynews wilayani  Kahama  Raymond Mihayo.

Mwezeshaji David  Magige  kutoka shirika hilo wilayani Kahama.


Waandishi wa habari  wakiwa  katika makundi kwa vitendo.

Waandishi wa habari wakisikiliza vikundi vilivyokuwa vikiwakilisha.

Mtangazaji wa redio Faraja Nunu Abdul na akiwa na meneja wa redio Kahama,marco Mipawa wakiwa nje ya ukumbi waGorden Valle nje kidogo ya mji wa Kahama


Wandishi wa Habari wakimsikiliza mwezeshaji katika mafunzo hayo
Mwandishi wa habari kutoka  redio Kahama Bakari Khalid  akiwasilisha mada  ya maswali kutoka kwenye kundi lake.

0 Response to "WAANDISHI WA HABARI WATAKIWA KUELIMISHA JAMII ILI WAWEZE KUONDOKANA NA MFUMODUME."

Post a Comment

KARENY. Powered by Blogger.