CAPTAIN Omary Hanzuruni akiwaongoza mgeni rasmi katika mahafari hayo,Zacharia Misana Afisa uhamiaji Wilayani Kahama pamoja na Mkurugenzi wa mji wa Kahama, Felix Kimaryo kwenda kukagua gwalide la vijana kutoka shule ya msingi Sunset
Mlezi wa shule ya Sunset, Mahamoud Jaha kulia akiwa sambamba na Afisa uhamiaji ,Zacharia Misana wakiongozwa na captain Hanzuruni kuelekea jukwaa la vijana machachari katika kuhakikisha wanamazoezi mazuri ya kulinda Taifa
Vijana wa kikosi kutoka Shule ya Sunset wakiwa wamejipanga kikakamavu
Captain Hanzurini akiwatambulisha maaskari wake kwa wakaguzi wa vikosi hivyo
Twendeni na huku muone
Afisa huyo wa Uhamiaji mwenyesuti ya kaki pamoja na mlezi wa shule hiyo wakiwa wamesimama kikakamavu huku wakiangalia kama maaskari hao wako sawa
Wakiangalia jeshi la Magereza mchanganyiko na la Uhamiaji kwa makini
Simama imara
Katiza uone cha moto
Captain Hanzuruni akiwa mbele ya maaskari wake
TUPO IMARA
Jeshi la majini likionyesha umahili wake kazini
Wakiwa tayari kukabiliana na maadui
Wakiwa katika mwendo wa haraka
Mlezi wa Shule ya Sunset Mahamoud Jaha mweye suti ya blauni akiw na skafu shingoni kushoto kwake ni Afisa Uhamiaji akiwa wa Wilaya ya Kahama, Zacharia Misana, mwenyekaundasuti ni Mkurugenzi wa mji wa Kahama,Felix kimaryo wakiwa meza kuuu wakiwatazama wanafunzi wa shule hiyo wakati wakionyesha maonyesho ya jeshi la ulinzi yaliyoandaliwa na shule hiyo.
WAKILITAWALA JUKWAA
Wapiga bendi la gwalide mahili wa shule hiyo
Wanafunzi wa shule hiyo wakiwa katika picha na kwenye mahafali hayo
USITUSOGELEE
TUMEMALIZA DARASA LA SABA TUKIW NA AFYA NZURI TUMEFURAHI
UKITUONA TUPO KAZINI PIT MBALI CHEZEA SIRAHA WEWE
Maaskari hawa wamepata nafasi ya kuzungumza na blog hiii na kusema kuwa hata wakifanikiwa kuingia katika kidato cha sita hapo baadye mungu akipenda watajiunga na jeshi la kulinda Taifa JKT na kuahidi kulitumikia taifa hili vyema.
Hiki ni kikosi cha makomando wa Tanzania wakionyesha umahili wao wa kung'fuu mbele ya viongozi wao pamoja na mgeni rasmi
Komando akimkabili adui
kikundi cha kwaya cha shule hiyo
0 Response to "WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI SUNSET- WAONYESHA VIPAJI VYAO KWA KUPITIA GWARIDE. "
Post a Comment