| Watoto wenye ulemavu mbalimbali katika kituo cha Buhangija manispaa ya Shinyanga wakisubiri kupewa msaada wa nguo na vyakula siku ya pasaka. |
| Watoto wakiendelea kusubiri msaada. |
| Familia ya Mwalongo ikijitambulisha tayari kwa kutoa msaada siku ya Pasaka |
| Mbuzi aliyetolewa na familia ya Anna na Josephat Mwalongo siku ya Pasaka katika kituo cha Buhangija. |
0 Response to "WATOTO KWENYE KITUO CHA BUHANGIJA WAPATA MSAADA."
Post a Comment