Home » Archive for July 2014
SHIDEFA IMEMTAKA RAIS KIKWETE KUVUNJA BUNGE MAALUMU LA KATIBA KAMA UKAWA HAWATAKWENDA KWENYE BUNGE HILO.
Posted by karenyblog
at 9:15 AM,
Add Comment
Soma zaidi
USHUHUDA NDANI YA MIEZI MITANO WAJIVUA GAMBA WAVAA GWANDA
Katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha mapinduzi Nape akiwatambulisha madiwani hao mara baada ya kutangaza kujivua chadema wakiwa jukwaani katika viwanja vya mahakama nguzonane. |
Hapa diwani sebastiani Peter akieleza mabaya yote ya chadema mbele ya katibu wa itikadi na uenezi Nape. |
hapa sare za chadema zikiteketezwa kwa moto. |
Madiwani hao ni Sebastiani Peter kutoka kata ya Ngokolo na Zacharia Mfuko kutoka kata ya Masekelo kwa pamoja jana waliongea na waandishi wa habari katika ofisi ya naibu meya wa manispaa hiyo huku wakieleza kuwa wanayatamka rasmi maneno mbalimbali yaliyopelekea kujiuzuru kama inshara ya kuwajibika kwa niaba ya makosa yaliyofanywa na viongozi wa kitaifa kwa nyakati tofauti.
Posted by karenyblog
at 7:51 AM,
Add Comment
Soma zaidi
BAADHI YA MANENO WALIYOKUWA WAKITAMKA NA KUTAKA KURUDI CHADEMA.
Mbunge wa jimbo la Maswa Magharibi mkoani Simiyu Slyvester Kasulumbai akituliza fujo iliyokuwa ikianz kutokea katika mkutano wa hadhara. |
Posted by karenyblog
at 7:37 AM,
Add Comment
Soma zaidi
BAADHI YA MIZANI AINA YA DIGITALI ZIMECHAKACHULIWA NA KUWAPUNJA WAKULIMA.
Posted by karenyblog
at 4:26 AM,
Add Comment
Soma zaidi
USAWA KWENYE ELIMU KWA WATOTO WA KIKE BADO WILAYANI KISHAPU MKOANI SHINYANGA.
Posted by karenyblog
at 11:17 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MADIWANI WALIOJIUZURU CHADEMA NA KUJIUNGA CCM WARUDI TENA CHADEMA KWA KUPIGA MAGOTI.
Aliyekuwa diwani wa kata ya Ngokolo Sebasitian Peter akiwa ameshikwa na walinzi wa chadema ili asipate kipigo baada ya kuwasili kwenye viwanja vya mahakama nguzonane manispaa ya Shinyanga ambapo lengo la kwenda kwenye mkutano huo ni kutaka kuomba msamaha kwa wafuasi wa chama hicho kurudi tena baada ya kupewa nafasi walieleza kushawishiwa na CCM na kuahidiwa fedha kwa matukio kadhaa watakayoyafanya jambo ambalo lilionyesha simanzi na huzuni kwa wananchi waliofurika katika mkutano huo ambapo walieandeleo kueleza kuwa bado chama hicho kinampango wa kuvuruga chadema kwa kuanzisha chama cha ACT . |
aliyekuwa diwani wa kata ya Masekelo kwa tiketi ya chadema Zacharia Mfuko amewasili katika viwanja vya mahakama nguzonane manispaa ya Shinyanga huku akiwa amvaa sare ya CCM kwenye mkutano wa hadhara wa chadema lengo la kurudi kwake ni kuomba msamaha ili wamrudishe tena,ambapo alipanda jukwaani akiwa na diwani mwenzie ambaye ni Sebastiani Peter wa kata ya Ngokolo huku wafuasi wa chama hicho wakijawa na hasira ya kutaka kuleta vurugu. wafuasi wa chadema waliokuwa katika mkutano wa hadhara wakipinga kurudishwa kwao ndani ya chama ambapo walidai kuwa tayari walikichafua kwa maneno makali na machafu hivyo hakuna sababu ya kuwarudisha,lakini katika zogo hili mbunge kutoka maswa mashariki Slyvester Kasulumbayi aliwapoza wananchi hao huku akidai kuwa tayari wametubu hata hivyo hawakuwa na kadi za chama cha mapinduzi na hata zile barua walizoandika manispaa kujiuzuru ni batili kwani hazikupitia kwenye utaratibu,kanuni na sheria. |
Posted by karenyblog
at 10:57 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MATUKIO YA PICHA MBALIMBALI ZA MBUNGE VITI MAALUMU MKOA WA SHINYANGA AZZAH HILALI.
Posted by karenyblog
at 2:04 AM,
Add Comment
Soma zaidi
UZAZI WA MPANGO MKOANI SHINYANGA WANAOTUMIA NI ASILIMIA 12.5 BADO KUNA CHANGAMOTO KUBWA
WADAU WA AFYA WAKIHAMASISHA KUFUATA UZAZI WA MPANGO MKOANI SHINYANGA.
BAADHI ya wazazi na
walezi mkoani Shinyanga wamekuwa wakiwafanyia unyasaji wa kijinsia
watoto wa kike kwa kuwaoza mapema kabla ya umri wao na viungo kutokukomaa
vizuri kwa lengo la kutaka utajiri wa haraka hali ambayo imeonyesha
kuongezeka kwa mimba za utotoni na kufikia asilimia 59 ambapo imeonekana
pia kushindwa kutumia njia ya mpango wa uzazi.
Licha ya mimba za utotoni pia
kumekuwepo na changamoto ya kutopanga uzazi hali ambayo imeelezwa kuwa kwa
mkoa wa Shinyanga uko nyuma kwa wanaotumia uzazi wa mpango ni asilimia 12.5
huku vifo vitokanavyo na uzazi ni asilimia 80 sababu ikielezwa ni mama
mjamzito kuchelewa kufika katika kituo cha afya na wasichana kuzaa umri mdogo.
|
Posted by karenyblog
at 7:02 AM,
Add Comment
Soma zaidi
SHEIKHE WA MKOA WA SHINYANGA AWAASA WAUMINI WA DINI YA KIISLAMU
Waumini wa dini ya kiislamu wakiwa uwanja wa CCM Kambarage ikiwa ni siku ya Idd el-fitri. |
Waumini wa dini ya kiislamu wakitoka katika uwanja wa CCM Kambarage baada ya kuswali swala ya Idd el fitri. |
Sherkhe wa mkoa wa Shinyanga Ismail Habib Makusanya akizungumza na waumini wa kiislamu katika uwanja wa CCM Kambarage. |
Trafiki wakiangalia usalama wa rai katika kuhakikisha kila kitu kinaenda vizuri. |
Waumini wa dini ya kiislamu wakiwa uwanja wa CCM Kambarage ikiwa ni siku ya Idd el-fitri. |
Posted by karenyblog
at 3:21 AM,
Add Comment
Soma zaidi
MAJERUHI WANAOTIBIWA KATIKA HOSPITALI YA MKOA WAPATIWA MSAADA.
BAADHI YA WAFANYAKAZI WA BENKI YA NMB WAKIWA KATIKA WODI YA WATU WALIOPATA MAJERAHA KATIKA AJALI NA KULAZWA HOSPITALI YA MKOA WA SHINYANGA. |
Meneja wa benki hiyo James Poneka alisema wafanyakazi wameguswa na matukio hayo ya ajali na kufikia hatua ya kuchanga fedha kwa ajili ya kununua vifaa ambavyo vitasaidia kuokoa maisha ya wahanga wa ajali hizo.
Kwa upande wake mganga mfawidhi wa Hospitali hiyo dkt Fredrick Mlekwa amewapongeza wafanyakazi wa Banki ya NMB kwa kuguswa na matukio hayo ya ajali na kueleza kuwa msaada huo umefika kwa wakati ikiwa majeruhi wengine bado wanaendelea kupatiwa matibabu.
Meneja wa benki tawi la NMB akikabidhi vifaa tiba kwa mganga mfawidhi wa hospitali ya mkoa dkt Fredrick Mlekwa. |
Posted by karenyblog
at 8:28 PM,
Add Comment
Soma zaidi
HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU IMEWEKA MIKAKATI YA KUNYANYUA ELIMU.
HII NI SHULE YA MSINGI MASAGALA ILIYOPO HALMASHAURI YA WILAYA YA KISHAPU NI KATI YA SHULE KUMI BORA ZILIZOFANYA VIZURI WILAYANI HUMO.
HALMASHAURI ya wilaya
Kishapu mkoani Shinyanga imeweka mikakati ya kuboresha elimu ya shule za msingi kwa kuziondoa changamoto mbalimbali
zinazowakabili ikiwemo kukarabati maboma
ya vyumba vya madarasa, kuongeza ufaulu kwa wanafunzi wa darasa la saba huku shule ya kwanza ikizawadiwa
shilingi laki tatu na inayoshika mkia hupewa kinyago. |
Posted by karenyblog
at 12:32 PM,
Add Comment
Soma zaidi
MCHUNGAJI YOHANA NZELU WA KANISA LA KKKT AWAPASOMO LA MAADILI WANAFUNZI WA SHULE YA SEKONDARI MWADUI.
Posted by karenyblog
at 5:36 AM,
Add Comment
Soma zaidi
UKAWA WAONGEA ,CUF WAWATAKA WANANCHI KUJITOKEZA KUPIGA KURA.
YEMBA; akiwa katika jukwaa baada ya kuteuliwa katika umoja wa katiba kwa vyama vya upinzani ukawa ambapo alihutubia wakazi wa manispaa ya Shinyanga. |
Yemba akiendelea kuongea |
Posted by karenyblog
at 2:51 AM,
Add Comment
Soma zaidi
ASKOFU EMANULE MAKALA AKIWEKA JIWE NA MSINGI BWENI LA WAVULANA SHULE YA SEKONDARI MWADUI .
Askofu Emanual Makalla wa kanisa kiinjili kilutheri Tanzania KKKT Dayosisi ya kusi |
Askofu Makalla akiendelea na ufunguzi. |
Kibao kinachoonyesha ufunguzi. |
Mchungaji Yohana Nzelu akielekea katika jengo la ufunguzi ambaye pia ni mwalimu mkuu wa shule hiyo aliyeshika bibilia na kuvaa joho akiwa ameambatana na waumini pamoja na wanafunzi wa shule hiyo. |
Posted by karenyblog
at 1:28 AM,
Add Comment
Soma zaidi
Subscribe to:
Posts (Atom)